JOHN MNYIKA.
Angalizo Muhimu:Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA ambaye pia ni mbunge wa Ubungi Mheshimiwa John Mnyika amewatahadharisha watu wanaojadili kile kilichoandikwa na gazeti la mwananchi kwamba uchaguzi wa Chama hicho ni 2015 sio kweli ni uzushi tu wa gazeti hilo.
na huu ndio ujumbe alioutuma kwenye ukurasa wake wa Facebook....Angalizo muhimu,Mnaojadili habari iliyochapwa katika gazeti la
Mwananchi kwamba Uchaguzi wa CHADEMA ni mwaka 2015, zingatieni kwamba si
kweli. Mara zote nimesisitiza Uchaguzi utakamilika ndani ya mwaka 2014.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.