Searching...
Jumatano, 15 Januari 2014

SIKU NCHACHE KABLA YA MAN U KUIVAA CHELSEA,MOURINHO AANZA KUMCHOKONOA MOYES-ASEMA MANCHESTER HAWANA RAHA NA MOYES

Mourinho: Insiders tell me United not happy with MoyesJOSE MOURINHO.
Zikiwa zimebakia siku chache Chelsea kuvaana na Manchester United jumapili wiki hii,Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema ana taarifa za ndani za klabu ya Man U kwamba hawana raha wala amani na kocha wao David Moyes,lakini wanajitahidi kuvumilia hali hiyo ili kumpa muda zaidi wa kujipanga na kuweka mambo sawa.
Ameongeza kuwa kipigo walichokipata United cha 2-1 kutoka kwa Swansea katika nusu fainali ya kombe la FA kikiwa ni kipigo cha tano nyumbani msimu huu na kwenye ligi kuu kubakia nafasi ya saba na pointi 11 nyuma ya vinara wa ligi hiyo Arsenal ndizo sababu zinawafanya Man U kutokuwa na imani na kocha wao.
Mourinho reckons United will stick with David Moyes in the long term (Picture: Reuters)
DAVID MOYES.
‘Siamini kama David yupo kwenye presha,ila presha ni jambo la kawaida kwa kocha kwasababu vyombo vya habari vinakuandama pale unapokuwa hauna matokeo mazuri kwenye timu.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!