THEOPHIL MAKUNGA.
waliokuwa
watuhumiwa wa kessi ya kuandika makala ya uchochezi Theophil Makunga, Absalom
Kibanda na Samson Mwigamba wameachiliwa huru na mahakama ya hakimu mkazi kisutu
jijini Dar es salaam jana baada ya jamuhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma
zilizokuwa zikiwakabili watuhumiwa hao.
ABLASOM KIBANDA.
Akizungumza
na kipindi hiki muda mfupi baada ya kuachiliwa huru na mahakama hiyo mmoja wa
waliokuwa wakituhumiwa katika kesi hiyo Absalom Kibanda amesema `kesi hiyo
itakua ni mwanga kwa wanahabari na fundisho kubwa kwa watu wenye nia ovu ya
kukandamiza vyombo vya habari.
SAMSON MWIGAMBA.
0 comments:
Chapisha Maoni