
PICHA NA MAKTABA.
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka visiwani zanzibar zinasema boti ya Kilimanjaro II iliyokuwa
ikitoka Pemba kuelekea Ugunja inasemekana imepingwa na dhoruba kali na
kunusurika kuzama eneo korofi baharini lenye kina kirefu la Nungwi baada ya injini zake zote kushindwa kufanya kazi ambapo baadhi ya abiria inasemekana walijitosa baharini na inadaiwa kuna uwezekano mkubwa kuna watu wamepoteza maisha katika tukio hilo.
Kikosi kamili cha MCHOME BLOG kipo kazini kuhakikisha kinakuletea taarifa kamili kuhusiana na tukio hili muda mfupi ujao.
0 comments:
Chapisha Maoni