Searching...
Jumapili, 5 Januari 2014

BANZA, MUUMIN NA ALLY CHOKI WAFANYA SHOW YA MWAKA KAHAMA....!!

Wacheza show wa Extra Bongo wakifanya yao Stejini
Show hii ambayo ilikua ya aina yake kutokana na kuvutia watu wa marika yote iliandaliwa na redio KAHAMA FM, ikiwa ni katika mfululizo wa show zao zilizoanzoa Geita, Musoma, Kahama na Kumalizika jana kule Nzega Tabora.
Ally choki akiimba wimbo wake wa Mwaka wa tabu
Hapa Ni Mwinjuma Muumin akiimba tunda
Banza Stone na Mtaji wa Masikini
Rapa Mahiri wa Extra Bongo Frank Kabatana akifanya yake

Hii ni show iliyofanyika juzi ndani ya club Social Kahama ambapo Mwijuma Muumin " Kocha wa Dunia" na Banza Stone " Mwana Masanja" walikuwa waalikwa wa Ally Choki aliyekuwa na Bendi yake nzima ya Exra Bongo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!