Rais
wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala akikabidhi cheti
maalum cha kutambua utendakazi na mchango wa Nehemia Mchechu Kyando
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) wakati Club hiyo ilipomkabidhi
cheti na tuzo maalum katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya
Courtyard Upanga jijini Dar es salaam
Kushoto
ni Paul Mashauri na na wajumbe wengine wa Rotary Club wakimpigia makofi
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando hayupo pichani
mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo
Meneja Huduma kwa Jamii wa NHC , Muungano Kasibi Saguya kushoto akiwa na
Yahya Charahani ambaye ni Meneja Mawasiliano wa NHC wakiwa katika hafla hiyo jana
Mzee
Method Kashonda mmoja wa viongozi wa Mzizima Rotary Club akikaa kwenye
kiti chake mara baada ya kusoma wasifu wa Mkurugenzi wa Shirika la
Nyumba Bw. Nehemia Kyando Mchechu jana kabla ya kumkabidhi tuzo yake
aliyokabidhiwa na taasisi hiyo kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini
Dar es salaam jana.
0 comments:
Chapisha Maoni