Searching...
Jumatano, 13 Novemba 2013

ALEX MSAMA AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA TAMASHA LA KRISMAS DESEMBA 25 /2013

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari  kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam na kuelezea maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika siku ya sikukuu ya Krismas kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushirikisha waimbaji mbalimbali wa injili kutoka ndani na nje ya Tanzania  ambapo pia anatatarajia kuzindua albam yake mpya katika tamasha hilo. 2  
ametaja nchi ambazo washiriki watatoka kuwa ni Tanzania yenyewe, Afrika Kusini, Nigeria, Zambia, DRC Congo, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda. Ameongeza kuwa mmoja wa waimbaji hao kutoka Zambia
  3  
Msama pia amesema nusu ya fedha zitakazopatikana zinatarajia kulipia karo za shule kwa watoto wasiojiweza wapatao 300 na fedha nyingine zitaelekezwa kwenye ujenzi wa kituo cha misaada kwa w asiojiweza kitakachoitwa Jakaya Mrisho Kikwete Rafiki wa wasiojiweza kinachotarajiwa kujengwa huko Pugu, Kauli Mbiu ya Tamasha hilo ni 
"TANZANIA NI YA WATANZANIA TUILINDE NA KUIDUMISHA AMANI YETU"

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!