Searching...
Jumanne, 12 Novemba 2013

.....BREAKING NEWSSSSSS!!! DR EDMUND SENKONDO MVUNGI AFARAKI DUNIA AFRIKA KUSINI

MAREHEMU
DR.EDMUND SENKONDO MVUNGI
Habari za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinasema mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na mkuu wa idara ya katiba na sheria wa chama cha NCCR Mageuzi Dr.Edmund Senkondo Mvungi amefariki dunia huko Afrika dunia huko nchini Afrika Kusini katika hosptali ya Milpark alipokuwa amelazwa kwa matibabu baada ya kuvamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wiki moja iliyopita.
akithibitisha msiba huu,mweyekiti wa NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia amesema Dr.Edmund Senkondo Mvungi amefariki dunia majira ya saa tisa kamili leo alasiri.
TAARIFA ZAIDI KUHUSU MSIBA HUU WA KITAIFA UTAENDELEA KUZIPATA KUPITIA HAPA HAPA MCHOME BLOG.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU DR.EDMUND SENKONDO MVUNGI MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!