Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akimkabidhi zawadi ya ngao Balozi wa
Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kulia) kwa ushirikiano
wake aliutoa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa uongozi wake
nchini. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi
Malemi. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga
balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda
wake, Alfonso Lenhardt kabla ya hafla fupi ya kumuaga balozi huyo aliyemaliza
muda wake wa uongozi nchini. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara
yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar
es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa maelezo mafupi ya kumshukuru Balozi
wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kulia) kwa
ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa uongozi
wake nchini. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi
Malemi. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga
balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati kushoto) akiwa na Balozi wa
Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (katikati kulia) pamoja
na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika hafla fupi
ya kumuaga balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara
yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar
es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa pili kulia waliokaa), Balozi wa Marekani
nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (wa pili kushoto waliokaa),
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia),
Naibu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blaser (kushoto), Naibu Katibu Mkuu
wa wizara hiyo, Malimi Malemi (wane kulia waliosimama) pamoja na Watendaji
Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya hafla fupi ya kumuaga Balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji
Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara
hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO
YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI.
0 comments:
Chapisha Maoni