Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi
wa Chama Cha Walimu Zanzibar (ZATU), Ofisini kwake Migombani.
Rais
wa Chama Cha Walimu Zanzibar (ZATU), Salim Kitwana Sururu (kushoto),
akiwasilisha maoni ya chama hicho kwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim
Seif Sharif Hamad, Ofisini kwake Migombani.
Baadhi
ya viongozi wa Chama Cha Walimu Zanzibar (ZATU), walimsikiliza Maalim Seif,
walipokutana nae Ofisini kwake Migombani. (Picha na Salmin Said, OMKR).
0 comments:
Chapisha Maoni