Bw Fute enzi wa uhai wake
Rais Kikwete Akitoa Salamu za Rambirambi Kwenye Msiba wa Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Njombe Mjini Lupyana Fute.
Hapa ndio
Nyumbani Kwa Marehemu Lupyana Fute Uzunguni Mjini Njombe Ambako Mwili
wake Umeagwa Asubuhi ya Leo na Rais Kikwete Ametoa Heshima zake za
Mwisho Hapo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akiongoza mazishi hayo kwa kuweka shada la maua leo
Wakuu wa Wilaya za
Njombe Kushoto Sarah Dumba,Katikati DC Wa Ileje na Kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Wanging'ombe Bi.Esterina Kilasi Wakiwa Wametoka Kuweka Shahada
la Pamoja Kwenye Kaburi la Lupyana Fute.
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji na Wilaya ya Njombe Wakimsikiza Mwenzao Lupyana Fute.
Kaburi Lake Likiwa Limewekwa Mashahada na Viongozi Mbalimbali Pamoja na Ndugu Jamaa na Marafiki wa Marehemu Lupyana Fute.
0 comments:
Chapisha Maoni