Searching...
Jumapili, 20 Oktoba 2013

MAJONZI MAKUBWA KWA WANAHABARI-MTANGAZAJI MKONGWE JULIUS NYAISANGA AMEFARIKI DUNIA


 
MAREHEMU JULIUS NYAISANGA
Taarifa tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Morogoro zinasema mtangazaji mkongwe hapa nchini Julius Nyaisanga ambaye aliwahi kutangaza Radio Tanzania na baadae kuhamia Radio One Stereo na baadae kuwa Mkurugenzi wa Radio one kabla ya kuhamia Radio Abood mkoani Morogoro amefariki dunia.
Marehemu Nyaisanga alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la moyo.
taarifa zaidi utazipata hapo baadae kupitia hapa hapa 
MCHOME BLOG.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU JULIUS NYAISANGA MAHALA PEMA PEPONI AMINA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!