Searching...
Jumatatu, 21 Oktoba 2013

WATU WANNE WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA AJALI MBAYA JIJINI MBEYA

GARI AINA YA SUZUKI NA NISSAN ZIMEGONGANA USO KWA USO MAENEO YA IWAMBI JIJINI MBEYA MCHANA WA LEO KISA CHA AJALI HIYO MAPAKA SASA HAKIJAJULIKANA 
HAPA BAADHI YA WANANCHI WAKIJARIBU KUYANASUA MAGARI HAYO

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!