Searching...
Jumapili, 20 Oktoba 2013

WAZIRI MKUU PINDA NA UJUMBE WAKE WAENDELEA NA ZIARA NCHINI CHINA

 Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahmani Shimbo. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China.
 (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Chapisha Maoni

Back to top!