Searching...
Ijumaa, 25 Oktoba 2013

KAMATI YA BUNGE KILIMO, MIFUGO NA MAJI YATEMBELEA SHAMBA LA MIFUGO LA ASAS DAIRIES LTD LAPONGEZA UBORA

 Mkurugenzi  mtendaji  wa Asas Dairies Ltd Bw  Salim Asas Abri  kulia  akiipokea kamati  ya  bunge ya kilimo,mifugo na maji   iiliyotembelea  shamba la mifugo ya  Asas eneo la Nduli Iringa mjini leo
Asas  akitoa  maelezo ya  shamba  hilo na changamoto  zinazowakabili  wafugaji nchini mbele ya kamati ya  bunge Kilimo ,mifugo na maji  leo
 Wajumbe  hao  wakitembelea  shamba  bora la mifugo la Asas  Iringa  leo
Wajumbe  wa  kamati ya  Kilimo, mifugo na maji  kutoka  bunge la jamhuri ya muungano  wa Tanzania  wakiwa katika  picha ya pamoja na uongozi  wa shamba la Asas na wilaya ya  Iringa  leo

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!