WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 26/10/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na
Mara ]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
|
[Mkoa wa Kigoma]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
|
[Mkoa wa Ruvuma]:
[Morogoro kusini]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa ya Dar-es-Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
Hali
ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dodoma,
Shinyanga, Singida na Tabora]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro
(kask) na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
29°C
|
12:23
|
D'SALAAM
|
33°C
|
12:15
|
DODOMA
|
31°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:52
|
MBEYA
|
32°C
|
12:39
|
MWANZA
|
26°C
|
12:36
|
TABORA
|
35°C
|
12:40
|
TANGA |
30°C
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
12:15
|
PEMBA
|
30°C
|
12:15
|
MOROGORO
|
33°C
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kusini-Mashariki kwa pwani ya Kaskazini na
kutoka kaskazini kwa pwani ya kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi:
26/10/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 26/10/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni