Jeneza lililobeba Mwili Mama mzazi wa mtangazaji wa ITV na Radio One Ufoo Saro Bi.Anastazia Peter Saro ukiwekwa kaburini kama nyumba yake ya milele kijijini kwake machame baada ya kuuwawa kwa kupigwa risasi na mkwe wake.
Kaburi la mama mzazi wa mwandishi wa habari wa ITV na Radio One Ufoo saro marehemu Anastazia Peter Saro baada ya mazishi.
Hapa ndipo safari ya mwisho hapa Duniani ya mama mzazi wa mwandishi wa habari wa ITV na Radio one Ufoo Saro Marehemu Anastazia Peter Saro.
Mwili wa marehemu Anastazia Peter Saro ukielekea kaburini kupumzishwa.
ilikua ni vilio na majonzi...maana ni kama watu hawaamini kama kweli Bi.Amastazia Peter Saro amefariki dunia na hawatamuona tena.
Watumishi mbalimbali wachungaji na wainjilisti wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania wakiwa tayari kabisa kumzika mama mzazi wa Ufoo Saro marehemu bi.Anastazia Peter Saro.
0 comments:
Chapisha Maoni