Searching...
Jumatano, 16 Oktoba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KESHO ALHAMISI 17-10-2013



 
WIZARA YA UCHUKUZI 
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 17/10/2013.

[Mikoa ya Tanga, Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
[Maeneo ya Morogoro Kusini]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya  Kagera na Mara ]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Iringa,  Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Singida, Dodoma  na Kigoma]:
[Mikoa ya Shinyanga,  Mwanza na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Maeneo ya Morogoro Kaskazini]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                30°C               
12:24
D'SALAAM
           33°C           
12:15
DODOMA
32°C
12:28
KIGOMA           
30°C
12:52
MBEYA
28°C
12:39
MWANZA
31°C
12:37
TABORA
34°C
12:40
TANGA
31°C
12:15
ZANZIBAR
            31°C           
12:15
PEMBA
30°C
12:15
MOROGORO
32°C
12:22

  Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa
   ya kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani ya kusini.
 Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
Matazamio kwa usiku wa leo Alhamis: 17/10/2013: Mabadiliko kidogo.
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/10/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!