Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema 
walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha 
habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za 
Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti 
tofauti za kimahaba nchini humo.
Jumatano, 9 Oktoba 2013
          
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
TUACHE TULALE !USINGIZI NA PENNY UMEISHA.SASA NI TUACHE TUISHI NA WEMA,LOOH BALAA
JibuFuta