Gari la Taasisi ambayo hakujulikana kwa Mara moja ikiwa ma Fedha na imepata ajali muda huu eneo la Survey Dar es salaam.
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia Ajali hiyo
Askari wa Jeshi la Polisi akiwa anaimarisha ulinzi baada ya ajali hiyo kutokea
Magari yakiwa na Foleni kiasi
Gari la Taasisi hiyo likiwa limesimama baada ya ajali hiyo
Taili Likiwa limekatika baada ya ajali hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni