Searching...
Jumatano, 9 Oktoba 2013

DIAMOND NA WEMA WARUDIANA KWA KASI YA AJABU...PENNY ADATA

Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.
BREAKING NEWS…!!! DIAMOND NA WEMA PAMOJA
           
Baadhi ya picha hizo, moja inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…

1 comments:

  1. TUACHE TULALE !USINGIZI NA PENNY UMEISHA.SASA NI TUACHE TUISHI NA WEMA,LOOH BALAA

    JibuFuta

 
Back to top!