Rais wa Marekani bwana Barack Obama na Rais wa Syria Bashar All Assad,kila mtu akimnyooshea mwenzake kidole.
Rais wa Marekani bwana Barak Obama akizungumza na simu huku mguu mmoja ukiwa juu ya meza ikiwa ni muda mfupi baada ya kikao chao walipojadili kuhusu Syria...inasemekana mkutano huo umemkataza asiipige syria.
Pita huko na mimi nipite huku-Ni kama kila mmoja anamuambia mwenzake hivyo kati ya rais wa Mrekani bwana Barack Obama na Rais wa Urusi bwana Vladmir Putin katika mkutano wa mataifa 20 tajiri duniani maarufu kama G20 unaoendelea huko nchini Urusi ambapo mkutano huo umetawaliwa zaidi na Marekani kutaka kuipiga kijeshi Syria kutokana na kutumia silaha za sumu dhidi ya binadamu.
Waziri mkuu wa Uingereza akisalimiana kwa shida na rais wa Urusi bwana Vladmir Putin katika mkutano wa G20 unaoendelea huko Urusi.
Vigogo viwili vya dunia vinavyotishia kuleta vita kuu ya tatu ya dunia rais wa marekani bwana Barack Obama na rais wa Urusi bwana Vladmir Putin wakiteta jambo lakini kama vile wanapigana mkwala vile.
Rais wa Marekani bwana Barack Obama akiwa katika kikao cha siri na jopo la ulinzi na usalama la marekani wakijadili jambo kuhusu Syria wakati wa mapumziko ya kikao cha G20 kinachoendelea huko nchini Syria.
Rais wa Marekani Bwana Barack Obama akiteta jambo na waziri mkuu wa Uingereza bwana David Cameroon wakielekea katika ukumbi wa mkutano wa G20 unaoendelea huko nchini Urusi,ambapo Uingereza inaiunga mkono Marekani kuitandika Syria.
Hivi ndivyo Syria inavyotuhumiwa kutumia gesi ya sumu dhidi ya binadamu.
Hivi ndivyo Syria inavyotuhumiwa kutumia gesi ya sumu dhidi ya binadamu.
Waandamanaji wa Syria wakiwa wamebeba picha zinazoonyesha watu wengi wao wakiwa watoto waliouwawa kufuatia gesi sumu
Rais wa Marekani Barack Obama asema matumizi ya gesi ya sumu dhidi ya binadamu yamevuka mipaka na ni lazima aadhibiwe
Baadhi ya Sample ya ushahidi kutoka Syria kwamba majeshi ya nchi hiyo ilitumia gesi ya sumu dhidi ya binadamu nchini humo.
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa John Kerry Akihutubia mkutano wa G20 katika mkutano unaoendelea huko Urusi na kuihakikishia dunia kwamba marekani wanao ushahidi wa kutosha kwamba Syria imetumia silaha za sumu dhidi ya binadamu.
Rais wa Syria Bashar All Asaad akikanusha nchi yake kutumia gesi ya sumu dhidi ya binadamu.
Papa Francis aiomba Dunia kila mmoja kwa imani yake Kumuomba Mungu aiepushe Dunia na vita kuu ya tatu ya Dunia.
Majeshi ya Marekani na Israel yakiandaa vifaa vya kujihami dhidi ya Syria,hapa ni eneo la Haifa.
Mwanamuziki wa kimataifa Madona aiomba Marekani kumaliza mgogoro wa Syria kwa njia ya amani kwani ikiingia vitani itaongeza mauaji zaidi
0 comments:
Chapisha Maoni