Siku
zinavyozidi kwenda na matukio ya kushangaza yanazidi kutokea, katika
hali ambayo kila mtu atashangaa ni pale kijana mmoja amefikia hatua ya
kumbaka mtoto wa dada yake na baadaye kujisalimisha mwenyewe polisi.
Baada ya kuhojiwa na polisi alisema kwamba, pepo ndiyo limemfanya yeye kufanya hiki kitendo.
Tazama video ya tukio hilo hapa chini:-
0 comments:
Chapisha Maoni