Wakonge
katika game la Muziki wa Bongo Fleva hapa nchini,Prof. Jay (kulia) na
Mwanadada Lady Jay Dee a.k.a Binti Komando wakifanya yao stejini Usiku
huu wakati wa Tamasha la Muendelezo la Kili Music Tour 2013,lilifanyika
kwenye Uwanja wa Taifa wa Kahama.
Mwanadada
Lady Jay Dee akiwapagawisaha wakazi wa Kahama usiku huu waliofurika kwa
wingi kwenye Uwanja wa Taifa wa Kahama usiku huu.
Binti anayetawala jukwaa la muziki wa kizazi kipya kwa sasa, Recho kutoka THT akicheza na madansa wake jukwaani.
Recho akimpagawisha shabiki wake aliepanda jukwaani kucheza nae.
Linex
Sunday, naye alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotia fora katika tamasha
la muziki la Kili Music Tour 2013 lililomalizika usiku huu kwenye
Uwanja wa Taifa wa Kahama.
Linex akiruka juu kwa juu ikia ni sehemu ya kutoa burudani yake kwa Mashabiki wake lukuki ndani ya Kahama.
Barnaba akiwabembeleza wakazi wa Kahama.
Mara akaanza kuwaomba msamaha kwa wimbo wake I’m Sorry…..
Mkali wa RnB,Ben Pol akionyesha ukali wake stejini.
Ben Pol kama kawaida yake.
Izzo Biznes akiimba moja ya nyimbo zake mbele ya mashabiki lukuki waliofurika kwenye Uwanja wa Taifa wa Kahama.
Izzo Biznes akiwachana vilivyo wakazi wa Kahama.
Izzo Business na Barnaba wakiimba pamoja katika jukwaa la muziki la Kili juzi wilayani Kahama
Mkali wa Hip Hop,Kala Jeremier akiwapa shangwe wakazi wa Kahama.
Kala Jeremier akiendelea kukamua.
Muite Ngosha the Swagger Don a.k.a Fid Q akifanya yake stejini.
Huku Ngosha na huku Izzo,unadhani nini kinaendelea hapo?
Ngosha akimtemea madini makali mtoto wa Kikahama.
Roma Mkatoliki.
Mara si ukafika wakati wa hepi besdei ya Msanii Ben Pol,hama akipewa zawadi ya kiatu na Msanii mwenzake,Barnaba.
Mara ukaimbwa wimbo wa hepi besdei ya Ben Pol ambao uliwashirikisha wasanii kibao wakiepo hao waliopo jukwaani.
nani kakwambia kuwa Kahama hakuna wanawake nyonga??
Binti wa Kahama akifanya yake stejini.
Kahama ilikuwa ni Shangwe tupu.
Wadau wakishow love mbele ya Bonge la Kamera.
Kutoka kushoto ni Izzo,Lady Jay Dee pamoja na Ngosha Fid Q.
Nyuma ya Steji.
0 comments:
Chapisha Maoni