Katika hali ya kushangaza Waziri mkuu wa Uingereza Bwana David Cameroon amesahau mkoba wake mwekundu ukiwa na nyaraka nyingi za siri za ofisi yake wakati akiwa njiani akiwa anasafiri kwa njia ya train.
Jumatatu, 9 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni