MWANAMUZIKI LADY GAGA.
Mwanadada
Lady Gaga mwanamziki maarufu duniani ameendeleza vituko baada ya kutoka
yeye na rafiki yake wa kiume (boyfriend) akiwa ameacha sehemu nyeti za
mwili wake utupu kama anavyoonekana pichani.
Nyota
huyo wa muziki mwenye umri wa miaka 27 akiwa na boyfriend wake nyota wa
filamu mwenye umri wa miaka 32 Taylor
Kinney walionekana juzi jumapili wakiyafurahia maisha katika ukumbi wa
Chateau Marmont huko Los Angeles nchini Marekani na kuwafanya watu
kuwakodolea macho nyota hao.
Akiwa
amevalia nguo ya cheke cheke iliyokua inaonyesha sehemu kubwa ya mwili
wake Lady Gaga alionekana kuwa katika muonekano tofauti hadharani kama
njia moja wapo ya kuvuta hisia za mashabiki wake kabla ya kutoa albamu
yake mpya inayokwenda kwa jina la Artpop.
0 comments:
Chapisha Maoni