WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION
/RADIO ONE
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 18/09/2013.
[Mikoa ya Kagera na
Mwanza]:
[Mikoa ya Mara na Kigoma]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Singida,
Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na
Lindi]:
[Mikoa ya Rukwa,
Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Morogoro na
Dodoma ]:
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
12:31
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:20
|
DODOMA
|
31°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
32°C
|
12:58
|
MBEYA
|
29°C
|
12:42
|
MWANZA
|
28°C
|
12:46
|
TABORA
|
33°C
|
12:46
|
TANGA |
29°C
|
12:21
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:20
|
PEMBA
|
29°C
|
12:21
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:27
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na
kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano:
18/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 18/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni