Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha
mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati
wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers)
hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu
ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya
siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha
mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Viongozi na Bloggers wakiwa wanafuatilia kwa umakini Mafunzo
Baadhi ya Viongozi na Bloggers wakiwa wanafuatilia kwa umakini Mafunzo
Sehemu
ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na
zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha
ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.








0 comments:
Chapisha Maoni