Searching...
Jumatano, 18 Septemba 2013

MCHEZAJI AZIMIA BAADA YA KUPEWA KADI NYEKUNDU-ANGALIA VIDEO HAPO CHINI.



Mchezaji wa timu ya FC Groningen ya Uholanzi Timo Letschert amezimia ghafla muda mfupi baada ya kuzawadiwa kadi nyekundu lakini beki huyo wa kimataifa wa Uholanzi alianguka ghafla na kuzimia kama video hapo juu

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!