Searching...
Jumapili, 1 Septemba 2013

NELSON MANDELA ATOKA HOSIPTALI-RAIS ZUMA ATHIBITISHA

An ambulance transporting former South African president Nelson Mandela arrives at the home of the former statesman in Johannesburg, South Africa, Sunday, Sept. 1, 2013.MSAFARA ULIOMBEBA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA LEO HII WAKITOKEA HOSIPTALINI KWENDA NYUMBANI KWA MZEE MADIBA AMBAPO ATAKUWA AKIENDELEA KUWA CHINI YA UANGALIZI WA KARIBU WA MADAKTARI WANAOMTIBU.
 An ambulance transporting former South African president Nelson Mandela arrives at the home of the former statesman in Johannesburg, South Africa, Sunday, Sept. 1, 2013.
AKITHIBITISHA KUTOKA HOSIPTALI KWA MZEE MANDELA IKIWA NI SIKU MOJA BAADA YA KUKANUSHA TAARIFA HIZO RAIS WA AFRIKA KUSINI AMEWEKA KWENYE MTANDAO WAKE KWAMBA TAARIFA ZA KWELI NI KWAMBA LEO JUMAPILI NDIO MZEE MANDELA AMETOLEWA NA SIO JANA KAMA TAARIFA ZILIZOVUMISHWA HAPO JANA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!