Searching...
Jumapili, 1 Septemba 2013

HIVI NDIVYO LIVERPOOL ILIVYOILAZA MAN U 1-0 HII LEO

Sturridge puts Reds ahead v UnitedDANIEL STURRIDGE AKIWAFUNGA MANCHESTER UNITED MNAMO DAKIKA YA 3 YA MCHEZO BAADA YA KAZI NZURI ILIYOFANYWA NA DANIEL AGGER.
Daniel SturridgeGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL!!!
 Sturridge strike helps Reds past UnitedDANIEL STURRIDGE AKISHANGILIA GOLI LAKE AMBALO LIMEIPA LIVERPOOL USHINDI WA TATU MFULULIZO NA KUIWEZESHA TIMU HIYO KUONGOZA LIGI KUU ENGLAND NA KUWA TIMU PEKEE KATIKA LIGI HIYO AMBAYO HAIJAFUNGWA HATA GOLI MOJA WALA KUTOA DROO BAADA YA KUCHEZA MICHEZO MITATU NA MAGOLI YOTE YAKIFUNGWA NA STRRIDGE.
Liverpool's Lucas challenges Manchester United's Nani during their English Premier League soccer match at Anfield, LiverpoolLUCAS LEIVER AKIMKABILI LUIS NANI KATIKA MPAMBANO WA KIHISTORIA KATI YA MAN U NA LIVERPOOL

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!