Captain Nick Sloane,akiwasili eneo la tukio kisiwa cha Gilgio nchini Italia kwaajili ya kuongoza zoezi la kuitoa meli ya Costa Concordia iliyozama january 13,2012.
Sala maalumu ilifanyika kabla ya kuanza zoezi.
Katika ajali hii watu 32 walikufa maji na wawili kati yao hawakuonekana kabisa hadi hii leo
Enzi hizo meli ikiwa inazama huku ndugu jamaa na marafiki wa abiria waliokuwemo kwenye meli hiyo wakishuhudia jinsi meli hiyo ilivyokua ikizama baada ya kugonga mwamba.
Wataalam kutoka nchini Marekani na Italia wakijiandaa na zoezi la kuitoa meli hiyo majini.
Hali ilikua mbaya sana wakati meli hii inazama.
Watu wakishuhudia zoezi la kuitoa meli hiyo huko nchini Italia hii leo.
Hapa ilikua siku meli hiyo ya Costa Concordia ilipokua ikizama baharini baada ya kugonga kitu chenye ncha kali na maji kuanza kuingia ndani.
Huyu ndiye alikua captain wa meli ya Costa Concordia Francesco Schettino aliyekua nahodha wakati meli hiyo inazama mwaka 2012 january ambaye kwa sasa amehukumiwa kifungo kwa kosa la mauaji ya watu 32.
Bi.Erika Fani Soria Molina mmoja wa abiria walionusurika katika ajali ya meli hiyo.
Bibie Domnica Cemortan ambaye alikua na captai wa meli hiyo Schettino wakati meli hiyo ikigonga mwamba.
0 comments:
Chapisha Maoni