Hakuna jambo lisilowezekana - labda hayo yalikuwa mawazo ya bwana huyu
kutoka Msumbiji. Amepakia magunia sita ya mkaa kwenye baiskeli yake.
Mzigo huo una uzito wa karibu kilo 300. Hapo hakuna tena kuendesha,
kinachobaki ni kuisukuma baiskeli. Amefunga kamba kwenye usukani ili
aweze kuiongoza baiskeli yake vizuri.
0 comments:
Chapisha Maoni