Searching...
Alhamisi, 5 Septemba 2013

LEO NI LEO,WAKATI WABUNGE WA TANZANIA WAKITOANA NJE,HUKO KENYA WANALUMBANA KWA HOJA ZA NGUVU KUJITOA ICC,LIVE KBC&CITIZEN

UHURU KENYATA-RAIS WA KENYA
Mjadala mkali unaendelea katika bunge la Kenya kuhusu kuunga mkono au kupinga mkono nchi hiyo kujiondoa kutoka katika mahakama ya ICC.
Hii ni kutokana na viongozi wake Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kukabiliwa na kesi za uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007-2008
Je huu ni wakati mwafaka kwa nchi hiyo kujiondoa ICC wakati kesi za washukiwa wake zikitarajiwa kuanza tarehe kumi mwezi huu tarehe 12 Novemba..............?

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!