WILLIAM RUTTO-MAKAMU WA RAIS WA KENYA
WAKATI BUNGE LA KENYA LIKIWA KATIKA KIKAO CHAKE CHA DHARURA KUJADILI HOJA YA KUJITOA KWENYE MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA ICC AU LA,MUDA HUU WABUNGE WA UPINZANI WAMEJENGA HOJA ZA NGUVU ZA KUKATAA KUJITOA KWENYE MAHAKAMA HIYO,KWA MADAI KWAMBA HAWAWEZI KUPITISHA HOJA HIYO ETI KISA RAIS NA MAKAMU WAKE WANA KESI YA KUJIBU KATIKA MAHAKAMA HIYO.
WABUNGE HAO WA UPINZANI NCHINI HUMO BAADA YA KUZIDIWA NGUVU NA WABUNGE WA MUUNGANO WA JUBELEE WAMETIMKA NA KUWAACHIA WAPITISHE WENYEWE KWA MADAI KWAMBA HAWAPO TAYARI KUBEBA DHAMBI HIYO YA KUWANYIMA MAMILIONI YA WAKENYA KWASABABU YA WATU WAWILI.
0 comments:
Chapisha Maoni