Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akielekea
kwenye ukumbi wa Kongamano la Kimataifa la Utamaduni wa sutaarabu wa Kiislamu
lililofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya La Gemma De est Nungwi mkoa wa Kaskazini
Unguja akiwa na wenyeji wake Mkuu wa Mkoa huo Pemba Juma Khamis Kati kati na
Waziri wa Habari wa Omar Dr. Abdulmumin Mansour Bin Said Al-Hasani.
Waziri wa Elimu na Maunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna
akitoa hotuba ya kukaribisha mgeni rasmi Balozi Seif kwa niaba ya Makamu wa
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal kulifunga
Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni Afrika Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifunga
Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu afrika mashariki
kwenye hoteli ya La Gemma De Est Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa
Utamaduni wa Kiislamu afrika mashariki kwenye hoteli ya La Gemma De Est Nungwi
wakifuiatilia hotuba ya ufungaji wa kongamano hilo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akisalimiana na KatibuMkuu
mstaafu wa Umoja wa Afrika Dr. Salim Ahmed Salim ambae nay eye alikuwa mshiriki
wa kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu afrika
mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akibadilishana mawazo
na wajumbe wa kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu
afrika mashariki kutoka Oman wakiongozwa na sheikhamauhannak Hairus nje ya
ukumbi wa Hoteli ya La Gemma De Est Nungwi.
Picha na
Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
0 comments:
Chapisha Maoni