Leo hii Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa morogoro
imetaja kuahirisha kesi inayomkabili katibu wa jumuiya na taasisi
ya kiislamu nchini Shekh Ponda Issa Ponda bila ya kiongozi huyo kuwepo
mahakamani.
Kesi hiyo imetajwa na mwanasheria wa serikali Gloria Lukambarila mbele ya hakimu wa mahakama hiyo Agnes Ringo na kuahirishwa hadi september 17 mwaka huu ambapo mahakama hiyo itatoa maamuzi ya kumpa dhamana au la.
0 comments:
Chapisha Maoni