WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION
/RADIO ONE
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 12/09/2013.
[Mikoa ya Kagera na Mara]:
|
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi,
mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga
na Tabora]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa,
Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na
Lindi]:
[Mikoa ya Morogoro, Dodoma
na Singida]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
12:31
|
D'SALAAM
|
33°C
|
12:20
|
DODOMA
|
29°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
32°C
|
12:58
|
MBEYA
|
26°C
|
12:42
|
MWANZA
|
28°C
|
12:46
|
TABORA
|
32°C
|
12:46
|
TANGA |
30°C
|
12:21
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:20
|
PEMBA
|
29°C
|
12:21
|
MOROGORO
|
32°C
|
12:27
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 30 kwa saa; kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa
kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio
kwa usiku wa leo Alhamisi: 12/09/2013: Mabadiliko
kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni