JUU NA CHINI NI MENEJA WA BIA YA KILIMANJARO GEORGE KAVISHE AKIWA NA BAADHI YA WANAMUZIKI WATAKAO PANDA JUKWAANI JUMAMOSI HII KUHUTIMISHA KILI MUSIC TOUR 2013 KATIKA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR ES SALAAM,BAADHI YA WANAMUZIKI NI DIAMOND PLUTNUM,MADEE,KALA GEREMIA PAMOJA NA WENGINEO KIBAO...USIKOSE JUMAPILI KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 25,000 TU.
Jumatano, 11 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni