
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wa Zanzibar,wakiwa kwenye ziara ya
kukagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na TASAF maakao makuu wajumbe
hao,wapo ziara ya Tanzania bara ili kujifunza na kupata uzoefu wa
utekelezaji wa miradi ya mfano,ambapo kwa leo walikua katika kijiji cha Gwata kibaha vijijini.
Wananchi wa kijiji cha Gwata wakiwasikiliza wajumbe hao wa baraza la wawakilishi kutoka zanzibar.
HABARI NA JOHN CHACHA
0 comments:
Chapisha Maoni