Searching...
Jumatatu, 2 Septemba 2013

BALE ATAMBULISHWA RASMI MADRID,GHARAMA YA VIPIMO NYAKE NI USAJILI YA WACHEZAJI KADHAA-IPO VIDEO YA UTAMBULISHO WAKE

VIDEO YA GARETH BALE AKITAMBULISHWA LEO KUNAKO REAL MADRID.
Mchezaji huyo ambaye amevunja rekodi ya dunia katika soka ameigharimu timu hiyo ya Madrid kitita cha paundi milioni 86 zikiwa ni milioni 6 zaidi ya zile alizonunuliwa nazo Christian Ronaldo ambaye ndiye aliyekua akishikilia rekodi hiyo ya kuwa mchezaji ghali duniani ambapo aliigharimu timu hiyo tajiri kiasi cha paundi milioni 80 akitokea Manchester United.Ronaldo refuses to rise to Mourinho jibesCHRISTAN RONALDO
Kufuatia Bale kutambulishwa hii leo kama mchezaji ghali duniani itamlazimu kulazimisha uhusiano mzuri kati yake na Ronaldo wawapo uwanjani ili kuweza kufanya vizuri.
VIDEO YA GARETH BALE AKITAMBULISHWA LEO KUNAKO REAL MADRID.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!