Huyu jamaa alitamani kupaa baada ya kumgonga muendesha pikipiki mmoja huko jijini Newyork nchini Marekani na baada ya kusimama ili wazungumze wakajaa wengi na kumtishia maisha huku akiwa yeye na mke wake na mtoto na alipoona mambo yamemzidi aliparamia pikipiki zingine mbili na kukimbilia pilosi lakini walimfukuzia na alikiona cha moto kama video inavyoonyesha na picha hizo hapo chini.
Jumatatu, 30 Septemba 2013
Related Posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni