SIKIA hii. Mrisho Ngassa alichukua pesa ya Simba kimya kimya,
akavinjari mitaani na kupiga dili zake, siku zikasonga, maisha yakaenda
ikafika siku akasaini mkataba mwingine na Yanga.
Hata hivyo, Shirikisho linalosimamia soka nchini
(TFF) limemwamuru azirudishe fedha hizo alizochukua Simba pamoja na
faini juu. Ngassa hakuwa na kinyongo, Ijumaa jioni iliyopita akiwa na
begi lake akatinga ofisi za TFF kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam
na kulipa kwa kutumia hundi ya Sh45 milioni.
Ngassa, ambaye amecheza mechi yake ya kwanza ya
Yanga Jumamosi iliyopita dhidi ya Ruvu Shooting sasa ameibuka na
kuwaomba mashabiki wa Yanga wenye nia njema wamchangie kuziba pengo
alilonalo mfukoni kwa vile adhabu aliyopewa imemgharimu sana. Unajua
Sh45 milioni si mchezo!
Mchezaji huyo ambaye amemaliza adhabu yake ya
kutokucheza mechi sita ametamka maneno haya kwa huruma: “Nawaomba watu
ambao wana nia ya dhati kunichangia niweze kurudisha fedha zangu kwenye
namba yangu ya simu au akaunti yangu ya CRDB ambayo ni 01J2095037800.’’
Ngassa alidai kwamba fedha hizo alizilipa mwenyewe
kutoka mfukoni kwake na sasa amebaki katika wakati mgumu ndiyo maana
anaomba wasamaria wema kutoka Yanga kujipigapiga na kumchangia kitu
kidogo kwenye akaunti yake hiyo na kwenye simu yake.
Katika hatua nyingine, mchezaji wa zamani wa
Simba, Yusuph Macho ‘Musso’ alisema hakuna mchezaji mwenye rekodi ya
kucheza misimu mingi kwenye ligi pasipo kuchuja kama Ngassa hatua ambayo
amesema ni mchezaji bora wa Afrika Mashariki kwa sasa.
“Ni mchezaji ambaye ananishangaza kwa kasi yake
uwanjani, amecheza ligi kwa misimu mingi lakini hajawahi kuchuja wala
kasi yake kupungua kuanzia kwenye timu yake mpaka Taifa Stars, ni winga
pekee kwa sasa Afrika Mashariki,” alisema Musso alipozungumza na
Mwanaspoti mjini Dodoma.
CHANZO NA MWANASPOTI.

- See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/10/ngassa-apeleka-akaunti-yake-ya.html#sthash.RF5mm5B1.dpuf

duuuuuuuh
JibuFuta