ZITO KUWASILISHA MUSWADA BINAFSI BUNGENI KUIPINGA SHERIA YA MAGAZETI YA MWAKA 1976
Home
»
Unlabelled
» ZITO KUWASILISHA MUSWADA BINAFSI BUNGENI KUIPINGA SHERIA YA MAGAZETI YA MWAKA 1976
Nimetoa
taarifa rasmi kwa katibu wa Bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge kwamba
katika mkutano ujao wa Bunge nitawasilisha muswada binafsi wa sheria
kufanya marekebisho ya sheria ya magazeti kwa lengo la kuifuta kabisa
sheria hiyo.
Madhumuni ya muswada huo ni; “kufuta sheria
ya magazeti ya mwaka 1976 kwa sababu inakizana na Katiba ya Nchi kuhusu
haki za Raia kupata habari na kwamba iliorodheshwa na tume ya Nyalali
ni sheria kandamizi’
Muswada
wenyewe nitauwalisilisha siku ya ijumaa ili uchapwe kwenye gazeti la
Serikali uweze kuingia kwenye shughuli za Bunge zitakazoanza tarehe 15
Oktoba 2013 kwa ngazi ya kamati.
0 comments:
Chapisha Maoni