Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya
Bandari ya Rotterdam,Rene Van Der Plas,alipotembelea katika bandari hiyo akiwa katika Ziara ya siku tano na ujumbe
wake, nchini Uholanzi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) na ujumbe wake waliokaa wakipata maelezo kutoka kwa Makamo wa
Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der
Plas,walipotembelea katika Ofisi za Bandari hiyo akiwa katika Ziara ya siku tano , nchini Uholanzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na ujumbe wake wakipata
maelezo ya ramani ya Ujenzi wa Bandari na Mpango mzima wa utendaji kazi kutoka
kwa Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene
Van Der Plas, alipotembelea katika Ofisi
za Bandari hiyo akiwa katika Ziara ya
siku tano nchini Uholanzi na ujumbe
aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na Mawaziri pamoja na
Balozi Dr.Diadorus B. Kamala,(wa pili kulia)wakizungumza na Makamo wa Rais pia
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der
Plas,walipokuwa katika Boti walipoitembelea Bandari ya Rotterdam Nchni Uholanzi
wakiwa katika ziara ya siku tano nchini humo.
Baadhi ya Meli za Mizigo kutoka Nchi mbali mbali ikiwemo China,ni
miongoni mwa Meli zinazotia nanga katika Bandari ya Rotterdam, Nchini Uholanzi
kama inavyoonekana pichani ikiwa imesheheni makontena yenye Bidhaa mbali mbali.
Baadhi
ya Meli za Mizigo kutoka Nchi mbali mbali ikiwemo China,ni miongoni mwa Meli
zinazotia nanga katika Bandari ya Rotterdam, Nchini Uholanzi kama inavyoonekana
pichani ikiwa imesheheni makontena yenye Bidhaa mbali mbali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
akiwa na wawakilishi wa Makampuni yanayotaka kuwekeza Zanzibar wakiwa katika
mazungumzo ya kujadili nanama ya kufikia hatua za kuwekeza Nchini,wakati alipokuwa katika ziara Nchini
Uholanzi itakayochukua siku tano,ambapo atatembelea sehemu kadhaa za
kimaendeleo katika nchi hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na
ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha
Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL)
Dick Meurs,walipofika katika Ofisi za Kituo hicho huko katika Bandari ya
Rotterdam,nchini Uholanzi katika ziara ya siku tano.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi
inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,alipokuwa akitoa
maelezo kwa Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ukioongozwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara
nchini Uholanzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa katika picha na Mfalme wa Uholanzi Willem Alexander,alipomtembelea
kat5ika makazi yake nchini Uholanzi,rais akiwa katika ziara ya siku tano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Viongozi wawakilishi wa Makampuni wakati alipowasilim katika
Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Famili ya Mfalme panoja na makampuni
nchini Uholanzi akiwa katika ziara ya siku tano nchini humo.
[Picha na Ramadhan
Othman,Uholanzi.]
0 comments:
Chapisha Maoni