Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, akipunga mkono, wakati
akipanda ndege yake tayari kuondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku
3 nchini
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jeneral
Davies Mwamunyange (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Usalama wa
Taifa, Ramadhan Othman (wa pili kulia), walipokutana baada ya Waziri
Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, kuondoka Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam j
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand,
Yingluck Shinawatra, wakipungia kikundi cha sanaa wakati wa hafla ya
kumuaga mgeni wake huyo, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam
0 comments:
Chapisha Maoni