Kikundi cha TOT Mbeya wakitumbuiza katika Shughuli za uzinduzi wa Nanenane Mbeya
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Halison Mwakyembe Katikati akiwa meza kuu pamoja na viongozi mbalimbali
Viongozi mbalimbali wakiwa katika Meza kuu
Katibu wa TASO Kanda ya nyanda za Juu Kusini Ramadhani Kiboko akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi
Waziri wa Uchukuzi ambaye alikuwa mgeni Rasmi Dr. Harison Mwakyembe akihutubuia.
Wananchi mbalimbali wakiwa wanamngoja mgeni Rasmi kuwasili
Viongozi Mbalimbali wakijipanga tayari kwa kumpokea mgeni Rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla akimpokea Mgeni Rasmi Dr. Harison Mwakyembe
Vijana wa Skauti wakimvalisha skafu mgeni Rasmi baada ya kuwasili uwanjani
Mgeni Rasmi akipokea Heshima kutoka kwa skauti
Mgeni Rasmi akisalimiana na Viongozi Mbalimbali
Mgeni Rasmi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Nanenane Kanda ya Nyanda za Juu kusini Mbeya
Mgeni Rasmi akiingia uwanjani
Mgeni Rasmi akisaini kitabu cha wageni
Mwenyekiti wa TASO Noel Nkoswe akisoma taarifa kwa Mgeni Rasmi
PICHA NA MBEYA YETU.
0 comments:
Chapisha Maoni