
Baba Askofu Kiharuzi wa Kanisa
Katoliki Jimbo la Sumbawanga katikati akibariki tukio hilo. Geti
linaloonekana ni sehem ya uzio wa huo uliojengwa kwa fedha za wahisani
kutoka Marekani. Katika hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliendesha
harambee fupi ya kuchangia kituo hicho ambapo jumla ya Tsh. 835, 000/
zilipatikana.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi
Stella Manyanya akikabidhi zawadi ya batiki kwa Mama Ann Marie English
pamoja na wahisani wengine sita kutoka Marekani ambao ni mmoja kati ya
wahisani waliofadhili miradi hiyo mbalimbali katika kituo hicho cha St.
Martin De Pores.

Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akikabidhi Hati ya Pongezi
kwa Mama Ann Marie English pamoja na wahisani wengine sita kutoka
Marekani ambao ni mmoja kati ya wahisani waliofadhili miradi hiyo
mbalimbali katika kituo hicho cha St. Martin De Pores.

Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akikabidhi zawadi ya nembo ya
bendera ya Taifa kwa Mwenyekiti wa jumuiya ya St. Martin Kids ya
Marekani Mama Marry Lynne Cassleman na wahisani wengine sita kama
kumbukumbu kwako kwa kufika Mkoani Rukwa.

Mwenyekiti wa jumuiya ya St. Martin Kids ya Marekani Mama Marry Lynne Cassleman akizungumza katika hafla hiyo.

Ndugu Michael Caraway ambaye ni mmoja
ya wahisani hao kutoka Marekani akizungumza katika hafla hiyo. Kulia
anaeonekana kichwa kwa nyuma ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella
Manyanya.

Ndugu Michael Caraway kulia aliomba kupiga picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

Picha ya pamoja
Na
Hamza Temba
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa
Na
Hamza Temba
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa
0 comments:
Chapisha Maoni