Searching...
Ijumaa, 30 Agosti 2013

WAZIRI MKUU PINDA ATUA TABORA KWA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU TATU

IMG_0555 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa dini wa mkoa wa Tabora baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya siku tatu mkoani humo kuanzia jana Agosti 29, 2013. IMG_0569 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa (kushoto)  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege waTabora kwa ziara ya siku tatu  mkoani humo  IMG_0578 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege waTabora kwa ziara ya siku tatu  mkoani humo. IMG_0616 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatuma Mwasa wakati alipokagua mradi wa matofali wa vijana wa  Pathfinder Green City katika kijiji cha Tulu wilayani Sikonge Agosti 29, 2013. Alikuwa katika ziara ya siku tatu mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!