Tukio hilo limetokea
usiku huu ndani ya ukumbi wa SERNA HOTELkatikati ja jiji la DSM ambapo
Diamond Platnum anazindua video yake ya wimbo wa #one fun.
Mzee Ngurumo
amesema"Haamini macho na masikio yake,hanachakusema zaidi ya ASANTE kwa
msanii huyo"Lakini pia amesema hajui hata mke wake atasemaje baada ya
kumwona akiingia na gari ndani ya nyumba yake.
Mzee ngurumo amekuwa na
matatizo ya kiafya siku za karibuni nakupelea kustaafu mziki
kabisa.Wazee wa msondongoma ndio wanajua makali ya Mzee Ngurumo.
0 comments:
Chapisha Maoni